Mwanga Wa Usiku (eBook, ePUB)
Amy Blankenship
eBook, ePUB

Mwanga Wa Usiku (eBook, ePUB)

Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili

Übersetzer: Amani, Pendo
Versandkostenfrei!
Sofort per Download lieferbar
3,99 €
inkl. MwSt.
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Quinn Wilder alimuangalia kwa macho ya njaa ya simba tangu siku aliyozaliwa. Alipofikia ujana, hamu ya kumdai kuwa mwenzake kuligeuka kuwa mgawanyiko mkubwa kati yake na kaka zake waliyokuwa walinzi wake. Wakati baba zao walipouana vitani, mahusiano kati ya familia hizo ...
Eine Lieferung an Minderjährige ist nicht möglich

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

 

Entdecke weitere interessante Produkte

Stöbere durch unsere vielfältigen Angebote