Swahili English Bilingual children's book. Perfect for kids learning English or Swahili as their second language. Little Jimmy doesn't like to brush his teeth. Even when his mother gives him a brand new orange toothbrush, his favorite color, he doesn't use it like he is supposed to. But when strange and magical things start happening to Little Jimmy, he begins to realize how important brushing his teeth can be. I love to brush my teeth is a delightful story full of beautiful illustrations sure to get your little ones attention. If your child is having difficulty learning to brush their teeth then this is the book for you to share together. This story may be ideal for reading to your kids at bedtime and enjoyable for the whole family as well! Jimmy hapendi kupiga mswaki. Hata mama yake anapompa mswaki mpya kabisa wa rangi ya chungwa, rangi anayopenda zaidi, haitumii jinsi anavyopaswa. Lakini wakati mambo ya ajabu na ya kichawi yanapoanza kumtokea Jimmy, anaanza kutambua umuhimu wa kupiga mswaki. Ninapenda kupiga mswaki ni hadithi ya kupendeza iliyojaa vielelezo vizuri ambavyo hakika vitavutia watoto wako. Ikiwa mtoto wako ana ugumu wa kujifunza kupiga mswaki basi hiki ndicho kitabu mtakachosoma pamoja. Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na pia kufurahisha familia nzima!
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.