Nicht lieferbar
Ndoto nzuri, kipenzi changu Sweet Dreams, My Love (eBook, ePUB) - Admont, Shelley; KidKiddos Books
Schade – dieser Artikel ist leider ausverkauft. Sobald wir wissen, ob und wann der Artikel wieder verfügbar ist, informieren wir Sie an dieser Stelle.
  • Format: ePub

Ni wakati wa kulala, lakini Alice hataki kwenda kulala bado. Kwa kupitia ratiba yake ya kulala, Mama anamtuliza binti yake kwa kumkumbusha mambo yote mazuri waliyofanya pamoja jioni hiyo. Kitabu hiki kimeandikwa kwa njia nyepesi na yenye kutuliza, kinaonyesha uhusiano mchangamfu na wenye upendo kati ya Alice na mama yake, huku kikiwatayarisha wasomaji wadogo kwa ajili ya kulala vizuri usiku.

Produktbeschreibung