2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
2,99 €
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
Als Download kaufen
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
1 °P sammeln
Jetzt verschenken
2,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
1 °P sammeln
  • Format: ePub

Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili wa lugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahili sanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbali mbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani. Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi ya Kiswahili cha mitaani…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.14MB
Produktbeschreibung
Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili wa lugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahili sanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbali mbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani. Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi ya Kiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani waweze kupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, D ausgeliefert werden.

Autorenporträt
Dardanus Mfalme, popularly known as Dardan King, is a Tanzanian-American multi-talented writer, producer, composer, poet, musician, and multi-instrumentalist who is one of the best-selling artists and writers of Swahili music and Swahili poetry books worldwide. For a complete biography, visit www.mfalme.com.