Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ¿No Money Smells¿, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai ¿zipo, na zanukä. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: ¿Umemuua mwanao ... Lazima umle ... ¿ Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, D ausgeliefert werden.