Safari ya Irene ni riwaya inayo muhusu binti Irene Paul mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, anyejikuta akiingia kwenye matatizo makubwa baada ya kufunga safari nakumfuata kijana Francis anayeishi mkoani Iringa aliye kutana nae kwenye mitandao ya kijamii mtandaoni.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.