Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha ¿ Akikusalimu umekwisha ¿ Hana mdhaha ¿Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa mojä ¿Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,¿ anasema akichekelea. ¿Sijawahi kushindwa ¿¿ Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, D ausgeliefert werden.