Hassan Mambosasa
eBook, ePUB

Septemba Mosi (eBook, ePUB)

Versandkostenfrei!
Sofort per Download lieferbar
3,49 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Furaha ya kupiga hatua kubwa kwenye maendelezo, hasa usafirishaji wa ardhini kwa njia ya kisasa. Ilitumbukia nyongo baada ya safari ya uzinduzi wa treni ya umeme ya kisasa kuanza. Ikiwa ni siku muhimu sana kwa nchi nzima. Habari ikafikishwa treni nzima ilitegwa bomu la kisasa, lililounganishwa kwenye mfumo wa umeme wa chombo hicho. Ikitokea kama ikasimamishwa, kupunguza mwendo au kuongeza zaidi ya uliyopo. Basi hakuna ambaye angesalia mule ndani. Rais wa nchi nzima alipewa masharti kadhaa ikiwemo kumwachia huru mhalifu hatari sana, ambaye kashikiliwa na majasusi wa EASA na kufungwa au kutolew...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.