Erick Mbeleka
eBook, ePUB

Sheria 10 Za Ushawishi (eBook, ePUB)

Sofort per Download lieferbar
8,49 €
inkl. MwSt.
Alle Infos zum eBook verschenken
PAYBACK Punkte
0 °P sammeln!
Moja ya ujuzi mkubwa unaotakiwa kuwa nao ni nguvu ya ushawishi kwa sababu chochote unachokitaka katika Maisha yako kinapatikana kwa watu na njia rahisi ili upate unahitaji uwezo wa kuwashawishi ili wakupe.Mungu ameweka mambo mengi unayoyaomba kwa Watu jambo usilolijua endapo utaacha kujifunza kuweza kushawishi watu wakupe unachotaka au kutamani utakuwa mtu wa kulalamika kwanini kuna mambo Upati,kwanini kuna vitu hupati na wanaopata mna sifa sawa au umewazidi.Nimeshuhudia kuna watu wanasema wana mikosi, kuna wengine wanasema hawana bahati na asilimia kubwa siyo kwamba hawajafanikiwa ila hawast...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.