11,95 €
11,95 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
6 °P sammeln
11,95 €
11,95 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
6 °P sammeln
Als Download kaufen
11,95 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
6 °P sammeln
Jetzt verschenken
11,95 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
6 °P sammeln
  • Format: ePub

Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake. Inspekta Kombora nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini mashujaa wengi lakini anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo la kusikitisha ni kwamba sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye anatembea kutoka jiji hadi jiji…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 2.35MB
Produktbeschreibung
Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu... Hata hivyo haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini, lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake. Inspekta Kombora nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini mashujaa wengi lakini anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo la kusikitisha ni kwamba sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye anatembea kutoka jiji hadi jiji akiwa na yule msichana mzuri Nuru. Juhudi za Kombora kumsihi hazifui dafu. Badala yake Joram anafanya maajabu mengine ambayo yanalichafua jina lake hapa nchini na kote duniani. Wakati huo siku ambayo utawala huo umeweka ili kuachia pigo lao la mwisho inazidi kukaribia. Sasa yamesalia masaa...

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, D ausgeliefert werden.

Autorenporträt
The late Ben Mtobwa was one of Tanzania's most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.