3,99 €
3,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
3,99 €
3,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
Als Download kaufen
3,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
Jetzt verschenken
3,99 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
  • Format: ePub

Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya moja na zaidi ya hayo, kila mmoja ana saa 24 tu katika siku. Kwa kutumia tafiti mbalimbali, nukuu za wenye hekima na za Biblia na mifano halisi, kitabu kinaonesha jinsi kila mtu anavyoweza kujitambua na kuchukua hatua. Kwa kuzingatia mashauri katika kitabu hiki, utaweza kutimiza njozi zako ungali na nguvu na kumaliza siku za maisha yako kwa amani. Kitabu hiki kitaongeza hamasa na matumaini ya jinsi unavyoweza kuanza au kuboresha hatua yoyote ya…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.19MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya moja na zaidi ya hayo, kila mmoja ana saa 24 tu katika siku. Kwa kutumia tafiti mbalimbali, nukuu za wenye hekima na za Biblia na mifano halisi, kitabu kinaonesha jinsi kila mtu anavyoweza kujitambua na kuchukua hatua. Kwa kuzingatia mashauri katika kitabu hiki, utaweza kutimiza njozi zako ungali na nguvu na kumaliza siku za maisha yako kwa amani. Kitabu hiki kitaongeza hamasa na matumaini ya jinsi unavyoweza kuanza au kuboresha hatua yoyote ya maisha yako. Unaweza kuishi maisha ya mafanikio katika viwango vya kidunia na vya Mbinguni pia.


Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.