Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kichina - Kiswahili) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ¿ Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kichina - Kiswahili) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ¿ Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, BG, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.