Lesen · Hören · Verstehen - Sefas schönste Kindergeschichten in einem Band, mit Online-Hörbuch:- "Schlaf gut, kleiner Wolf". Für Kinder ab 2 Jahre.- "Mein allerschönster Traum". Ab 3 Jahre.- "Die wilden Schwäne". Nach einem Märchen von Hans Christian Andersen. Ab 5 Jahre. Lassen Sie sich die Geschichte von Muttersprachlern vorlesen! Ein Link im Buch gibt Ihnen kostenlosen Zugang zu Hörbüchern in beiden Sprachen.Soma · Sikiliza · Elewa - Hadithi nzuri zaidi za watoto za Sefa katika juzuu moja, na online audiobook na video:- "Lala salama, mbwa mwitu mdogo". Kwa watoto wa miaka 2 na zaidi.- "Lala salama, mbwa mwitu mdogo". Kwa watoto wa miaka 3 na zaidi.- "Mabata maji mwitu". Hadithi inachukuliwa kutoka hekaya na Hans Christian Andersen. Kwa watoto wa miaka 5 na zaidi. Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili.