6,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in 1-2 Wochen
payback
3 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Mola, ewe Mola wangu Sina mwengine mlinzi Wewe ni himaya yangu Na msiri na mpenzi, Mwonevu amenishika Na kunipa bakora Ndipo nikalalamika Nipate suluhu bora, Naiona sasa njia Na nyeupe kama nuru Nyororo na asilia Kama wimbo wa uhuru.

Produktbeschreibung

Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Autorenporträt
Abdoul Mtoka alizaliwa katika jiji la Bujumbura katika nchi ya Burundi. Ni mpenzi wa fasihi hasa ushairi. Hiyi ni diwani yake ya kwanza katika lugha ya kiswahili. Pia, ni mwanasheria kutoka katika chuo kikuu cha Université Paul Cézanne katika jiji la Marseille nchini France.