Kwa hao wasomao kitabu hiki, ni matumaini yangu kuwa kitawaweka mahali ambapo kitwaletea ukero wa kutaka kumjua Yesu na nguvu alizotuacha nazo kwa Roho mtakatifu aishie ndani yesu tulio wakristo. Silo hilo tu bali kutumia imani yenu ya kweli na maombi kufungua milango ya ahadi za Mungu kuwa kweli katika maisha yetu ya kila siku. Huyu Roho wa Mungu aishie ndani yetu alete ugeuzi kwa matendo yetu ya ndani na ya nje. Nawaombeeni mabadiliko, amani na Furaha ya kudumu mpaka siku Bwana akirudi atukute tayari.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.
Hinweis: Dieser Artikel kann nur an eine deutsche Lieferadresse ausgeliefert werden.