19,99 €
inkl. MwSt.

Versandfertig in über 4 Wochen
  • Broschiertes Buch

Mvua inaponyesha watu wazima wanakimbia kuitoroka. Lakini kwa watoto wa kijiji, huu ni wakati wa furaha. Wanajitokeza kucheza na kuisifu mvua. Upinde wa mvua unavutiwa na kitendo chao na kuamua kuwapa zawadi ya rangi. Inanyesha mvua yenye rangi tofauti na kuleta umaridadi ambao haujawahi kuonekana kijijini, jambo linalowaongezea watoto raha.

Produktbeschreibung