51,99 €
inkl. MwSt.
Versandkostenfrei*
Versandfertig in 6-10 Tagen
payback
26 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

Mwanafalsafa mmoja maarufu duniani alisema , " UONGO UKIRUDIWARUDIWA MARA NYINGI HUONEKANA NA KUKUBALIKA KUWA NI UKWELI" Hii ni falsafa iliyotumika na mtawala katili wa wajermani Adolf Hittler kuwadanganya wananchi wake kuwa Wayahudi ni taifa hatarishi lililostahili kuangamizwa kuinusuru Ujermani kupoteza heshima yake kiuchumi kijeshi na kiutamaduni.Huu ulikuwa wakati wa maandalizi ya vita kuu ya pili ya dunia iliyoanza mwaka 1939-1945.Matokeo ya matumizi ya falsafa hii ni kuangamizwa kwa wayahudi milioni sita na zaidi katika kipindi kifupi. Falsafa hii potofu ndio iliyotumika na wanahistoria…mehr

Produktbeschreibung
Mwanafalsafa mmoja maarufu duniani alisema , " UONGO UKIRUDIWARUDIWA MARA NYINGI HUONEKANA NA KUKUBALIKA KUWA NI UKWELI" Hii ni falsafa iliyotumika na mtawala katili wa wajermani Adolf Hittler kuwadanganya wananchi wake kuwa Wayahudi ni taifa hatarishi lililostahili kuangamizwa kuinusuru Ujermani kupoteza heshima yake kiuchumi kijeshi na kiutamaduni.Huu ulikuwa wakati wa maandalizi ya vita kuu ya pili ya dunia iliyoanza mwaka 1939-1945.Matokeo ya matumizi ya falsafa hii ni kuangamizwa kwa wayahudi milioni sita na zaidi katika kipindi kifupi. Falsafa hii potofu ndio iliyotumika na wanahistoria wabaguzi na vikaragosi wao kupotosha historia ya afrika na kudai kuwa kabla ya ujio wa wakoloni Afrika haikumjua Mungu. haikuwa na ustaarabu wowote na kuwa Afrika lilikuwa bara la giza,Sura iliyoonekana ni ya umaskini na ufukara uliopindukia.Lakini kama ilivyo ada penye ukweli uongo hujitenga. Kitabu hiki kitakupatia ukweli ,uhalisia na mtazamo chanya wa Afrika ya jana, leo na kesho.Hakika hutajutia fedha yako kukipata na kukisoma kitabu hiki. Macho na masikio vyote duniani vinaelekeezwa Afrika
Autorenporträt
Ndugu Thomas S.M. Ng`atigwa ni msomi mwenye shahada ya udhamili katika historia aliyotunukiwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam mwaka 1981.Mwaka1989 alijiunga na Taasisi ya Sayansi ya Jamii Moscow¿Urusi ambako alitunukiwa cheti cha sayansi ya jamii. Hapa nchini alipata mafunzo ya siasa katika vyuo vya Kivukoni Dar es salaam na Hombolo Dodoma. Mwandishi